Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Bi Amina Masenza.
Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Iringa Mh Shangali, Viongozi wa dini pamoja na kamati za ulinzi na usalama.
Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Iringa Mh Shangali, Viongozi wa dini pamoja na kamati za ulinzi na usalama.
Wakuu hao wa wilaya waliahidi kutekeleza maagizo na ilani ya Chama cha mapinduzi. Pia kuhakikisha Iringa inaondokana na umaskini pamoja na changamoto za Lishe.
Mkuu wa wilya ya Mufindi, Mh Jamhuri William akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Bi Amina Masenza
Mkuu wa wilya ya Kilolo, Mh Asia abdallah akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Bi Amin Masenza.
Wageni waalikwaMkuu wa wilya ya Irnga, Richaed Kasesela akiongea jambo mara baada ya kula kiapo
Picha ya pamoja ya wakuu wa wilaya ( waliosimama nyuma ) wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Bi Amina Msenza ( aliyekaa wa pili kutoka kulia ) pamoja viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni