RWEYUNGA BLOG INAWATAKIA EID MUBARAK WATANZANIA WOTE
Uongozi na wafanyakazi wa Rweyunga Blog unaungana na Waumini wa Dini ya Kiislamu popote pale walipo ndani na nje ya Tanzania kusherehekea sikukuu ya Idd.
Aidha tunawatakia sikukuu njema yenye amani, upendo na mshikamano kati yetu. EID MUBARAK
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni