Mwanaume
mmoja nchini India aliyenunua shati ghali mno duniani
lililotengenezwa kwa kunakishiwa kwa dhahabu, inadaiwa kuwa ameuwawa
kwa kupigwa.
Mwanaume
huyo Datta Phuge alipata umaarufu mwaka 2013 wakati aliponunua shati
hilo lenye kilo zaidi ya tatu za dhahabu kwa kiasi cha dola 250,000.
Phuge
ambaye hukopesha fedha anaishi magharibi mwa Pune, inasemekana kifo
chake kinatokana na ugomvi wa fedha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni