Unamkumbuka Al Pacino muigizaji nguli wa filamu nchini
Marekani ambaye alitamba na filamu ya The Godfather na
Scarface, kwa sasa ameongezeka unene mno.
Al Pacino amebadilika kabisa
kutokana umbile lake la unene kiasi cha kutokuwa rahisi kumtambua
ameonekana akionge kwa simu nje ya ukumbi wa Macha Theatre,
California.
Al Pacino amenenepa kwa sasa na kuwa hivi
Hapa ilikuwa mwaka 2015 Al Pacino alikuwa na mwili wa wastani tu
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni