Muwania
urais wa Marekani, Bi. Hillary Clinton, amehojiwa na FBI kwa kutumia
barua pepe binafsi wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani,
timu yake ya kampeni imesema.
Msemaji
wa Bi. Clinton amesema kuwa mahojiano hayo yalikuwa ya hiyari.
FBI
inamchunguza Bi. Clinton na wasaidizi wake kwa uwezekano wa
kuhatarisha taarifa za siri za serikali kwa kutumia seva ya barua
pepe binafsi, wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Nje.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni