Mchezo
wa kujiandaa na msimu mpya baina wapinzani wa jadi Manchester United
na Manchester City nchini China umehairishwa kutokana na uwanja kuwa
katika hali mbaya.
Dimba
katika uwanja wa Kiota cha Ndege Jijini Beijing, limeelezewa kuwa ni
baya na kocha wa United Jose Mourinho, baada ya kuathiriwa na mvua
kubwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni