Mwanamke mmoja nchini Marekani
amelirusha moja kwa moja kwenye facebook tukio la mpenzi wake
akipigwa risasi na polisi na kufa katika jimbo la Minnesota nchini
Marekani.
Mwanamke huyo amesema mpenzi wake
huyo Philando Castile, alikuwa akitaka kutoa leseni yake ya udereva
wakati aliposimamishwa na polisi ndipo alipofyatuliwa risasi na kufa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni