Mwanamuziki
Rihanna amehairisha tamasha lake Jijini Nice nchini Ufaransa kufuatia
shambulizi katika sherehe za Siku Bastille, lililouwa watu 84.
Nyota
huyo wa Pop ameandika katika Instagram tamasha la Ijumaa katika mji
huo kwenye uwanja wa Allianz, halitofanyika kama ilivyopangwa
kutokana na tukio hilo.
Tamasha
la Jazz la Nice ililokuwa lianze jumamosi, nalo pia limehairishwa
kufuatia shambulizi hilo lililoshutumiwa kila kona ya dunia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni