Wachezaji wa timu ya taifa ya Wales
wameomba kutowaleta watoto wao uwanjani baada ya kufanya hivyo katika
mchezo wa robo fainali ya Euro 2016, kutokana na uwanjani kutokuwa
sehemu salama.
Mashabiki walionekana kufurahishwa
na picha za wachezaji wa hao akiwamo Gareth Bale, Hal Robson-Kanu
pamoja na Ashley Williams wakishangilia ushindi wao uliowaingiza
hatua ya nusu fainali wakiwa na watoto wao.
Hal Robson-Kanu akiwa na mwanae wakishangilia ushindi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni