.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 5 Julai 2016

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko zanzibar Balozi Amina Salum Ali(wa tatu kushoto) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (wa pili kulia) wakati alipotembelea leo katika maonesho ya 39 yaa Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia biashara mbali mbali za vipodozi wakati alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar leo katika maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali na kulia mjasiria mali Fadhil Mohamed wa Kiembesamaki Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia biashara mbali mbali za vipodozi wakati alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar leo katika maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipangalia mashine ya kutengenea sabuni pamoja kuapata melezo kutoka kwa Mkurugenzi George M.Buchafwe wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam leo (kulia) mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Ziwanda vidogo vidogo (SIDO) Bw.Omar Jumanne Bakari
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiangalia biashara mbali mbali za viatu vya Makubadhi na Mikoba wakati alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar, leo katika maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Mkombozi Group (NGARABUTO) Bw.Amos Z.Mshina,kuhusu Usindikaji na Usambazaji wa Unga wa Muhugo katika maeneo ya Sengerema Mkoani Mwanza,wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiangalia biashara mbali mbali ya mikoba wakati alipotembelea leo maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam,(kulia) Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa wote (EOTF) Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna Mkapa.05/07/2016. [Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni