Inapokuja
suala la urefu wanaume wa Kidachi na wanawake wa Latvia imeelezwa
ndio warefu kuliko wa mataifa mengine yote duniani.
Utafiti
umethibitisha kuwa wastani wa mwanaume wa Kidachi ni urefu wa
sentimita 183 (Futi 6), huku mwanamke wastani wa Latvia anaurefu wa
sentimita 170 (Futi 5 na nchi 7).
Utafiti
huo uliochapishwa kwenye jarida la eLife, ulifuatilia ukuaji wa watu
katika mataifa 187 tangu mwaka 1914.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni