Ajali mbaya ya barabarani imetokea katika eneo la Maweni wilaya ya Manyoni mkoani Singida ambapo watu 24 wameripotiwa kufariki dunia huku wengine ambao idadi yao rasmi bado haijapatikana wakijeruhiwa baada ya mabasi mawili yote ya kampuni moja ya City Boy kugongana uso kwa uso.
Kamanda wa polisi mkoani humo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na idadi hiyo ya vifo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni