Mkuu
wa Kituo cha polisi Kapenguria (OCS) Vitalis Ochido
Maafisa
polisi watano wanahofiwa kufa nchini Kenya baada ya watu wenye silaha
kushambulia kituo cha polisi huko Kapenguria, magharibi mwa Pokoti,
leo alfajiri.
Watu
hao wenye silaha walivamia kituo hicho ili kuwakomboa wenzao
waliokamatwa eneo la Nakujit kwa tuhuma za kuwa ni magaidi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni