.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Agosti 2016

BRAZIL YAREJEA MAZOEZINI KUJIANDA KUWAVAA DENMARK

Timu ya taifa ya Brazil imerejea kwenye mazoezi jana kujiandaa na mchezo ambao ni lazima washinde dhidi ya Denmark baadaye wiki hii katika michuano ya Olimpiki.

Ikiwa imeshabanwa mara mbili na kulazimishwa sare ya magoli mawili na timu ndogo za Afrika Kusini na Irak katika michezo ya awali ya ufunguzi, Neymar na wenzake wapo hati hati kuondolewa.

Wenyeji Brazil walianza michuano hiyo kama taifa linalopewa nafasi kubwa ya kutwaa medali ya dhahabu ya mchezo wa soka katika taifa hilo linalojivunia kwa historia ya mpira.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni