.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Agosti 2016

SERENA WILLIAMS ATOLEWA NJE KATIKA MICHUANO YA OLIMPIKI


Bingwa mtetezi Serena Williams ametolewa nje ya michuano ya Olympiki baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Elina Svitolina wa Ukraine katika raundi ya tatu.

Mmarekani Williams alijikuta akipoteza mchezo huo kwa seti 6-4 6-3 dhidi Svitolina, ambaye yupo katika nafasi ya 20 duniani ya viwango vya tenesi.

Mchezaji huyo namba moja duniani katika viwango vya tenesi duniani alijikuta akifanya makosa mara kadhaa katika mchezo wa saba wa seti ya pili.
            Elina Svitolina akionekana haamini kama kweli amemshinda Serena Williams

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni