.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Agosti 2016

BASI LA WAANDISHI WA HABARI LAPIGWA 'RISASI' NCHINI BRAZIL

Polisi wanachunguza kile kinachoaminika kuwa ni shambulizi la kutumia risasi katika basi rasmi la michuano ya Olimpiki.

Madirisha mawili yalipigwa risasi na vioo vyake kusambaratika wakati basi hilo lilipokuwa linasafirisha waandishi wa habari katika viwanja vya michezo.

Polisi nchini Brazil wamekuwa wakikabiliana na maandamano ya kupinga michuano ya Olimpiki, huku kukiwa na kilio viingilio vya michuano hiyo ni vya juu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni