.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Agosti 2016

MOTO WAUWA WATOTO NJITI 11 WAKIWA HOSPITALINI JIJINI BAGHDAD

Watoto njiti wapatao 11 wamekufa baada ya moto kutokea kwenye hospitali katika Jiji la Baghdad nchini Irak.

Taarifa ya wizara ya afya imesema moto huo ulitokea jana usiku ndani ya wodi ya wazazi kwenye hospitali ya Yarmouk Teaching.

Watoto saba pamoja na wanawake 29 wamehamishiwa kwenye hospitali nyingine, ambapo 19 miongoni mwao wamepatiwa tiba ya majeraha ya moto.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni