Mshambuliaji Michy Batshuayi
amefunga mara mbili na kuisaidia Chelsea kutinga mzunguko wa tatu wa
kombe la EFL kwa ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Bristol Rovers.
Mchezaji huyo aliyesainiwa kwa
kitita cha paundi ya milioni 33 akitokea Marseille aliifungia Chelsea
goli la kwanza a kisha Victor Moses kuongeza la pili dakika mbili
baadaye.
Michy Batshuayi akiifungia Chelsea goli la kwanza katika mchezo huo
Victor Moses akiifungia Chelsea goli la pili katika mchezo huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni