Tetemeko la ardhi limetokea katika
enao la kati la Italia na kuuwa watu wapatao 10 na wengine kadhaa
wamefunikwa na vifusi.
Tetemeko hilo lenye ukupwa wa kipimo
cha alama 6.2 limetokea kusini mashariki mwa mji wa Perugia.
Mtu akiangua kilio akiwa juu ya kifusi cha jengo lililoanguka
Polisi na vikosi vya uokoaji vikiwa vimeubeba mwili wa mtu
Vikosi vya uokoaji vikimuokoa mwanamke aliyekwama juu ya jengo lililoathiriwa na tetemeko
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni