Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akifuatana na Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni