Dogo
Marcus Rashford akitokea benchi amefunga goli la dakika za majeruhi
na kuisaidia Mnchester United kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya
Hull City katika dimba la KCOM.
Mchezaji
huyo mwenye miaka 18, akishuka mara ya kwanza dimbani katika msimu
huu, aliunganisha wavuni krosi iliyopigwa na Wayne Rooney na kuibua
shamrashamra.
Katika
mchezo huo Manchester United, ilikuwa inashahili ushindi ambapo
wachezaji wake Rooney,
Zlatan Ibrahimovic na Paul Pogba walikosa kosa magoli.
Dogo Marcus Rashford akipachika wavuni mpir wa krosi ya Wayne Rooney
Shuti la Wayne Rooney likiokolewa katika mstari na mchezaji wa Hull City
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni