Arsenal
imecharuka na kuifunga nyumbani Watford kwa magoli 3-1 ikiwa ni
ushindi wao wa kwanza katika msimu huu.
Katika
mchezo huo Santi Cazorla alikuwa wa kwanza kuifungia Arsenal goli la
kwanza na kisha Alexis Sanchez kuongeza la pili na Mesut Ozil kufunga
la tatu kabla ya mapumziko.
Watford
ilijitutumua katika kipindi cha pili na kupata goli manomo dakika ya
56 kupitia mpira wa guu la kushoto la Roberto Pereyra.
Santi Cazorla akipiga mpira wa penati na kuifungia Arsenal goli la kwanza
Mpira uliopigwa na Alexis Sanchez aliyeanguka chini pembeni ya goli ukiingia wavuni na kuandika goli la pili
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni