Mgombea
urais wa Republicana Donald Trump amemuita mgombea wa Democratic
Hillary Clinton kuwa ni “shetani”, katika hali inayoonyesha
kuchochea moto ndani ya chama chake.
Akiongea
kwenye mkutano uliofanyika kwenye shule huko Pennsylania, Bw. Trump
amemshambulia Bernie Sanders kwa kumuunga mkono Bi. Clinton katika
mbio za urais.
Bw.
Trump amesema Sanders amekubaliana na shetani, na kuongeza kuwa
Hillary Clinto ni shetani wa kike.
Wanachama
wa Democrats na wa Republicans kwa pamoja wamemshutumu Bw. Trump kwa
matamshi yake kuhusiana na wazazi wa mwanajeshi wa Marekani Muislam
aliyefariki vitani.
Mgombea wa Democratic Bi. Hillary Clinton
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni