.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 15 Agosti 2016

EVERTON YAMNASA WINGA YANNICK BOLAISE KWA KITITA CHA PAUNDI 30M

Winga Yannick Bolasie amekuwa mchezaji wa nne kujiunga na Everton katika majira ya joto, akimwaga wino katika mkataba wa miaka mitano kukaa Goodison Park.

Bolasie amejiunga na Everton kwa makubaliano ya ada inayofikia paundi milioni 30 baada ya kuiarifu Crystal Palace kuwa anataka kuondoka.
                             Winga Yannick Bolasie akifanyiwa vipimo na klabu ya Everton 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni