Eneo
kubwa la kusini mwa China limewekwa kwenye hali ya tahadhari wakati
kimbunga chenye nguvu kinachoambatana na mvua kikiukumba ukanda huo.
Kimbunga
hicho Nida kimeikumba Hong Kong jumanne, huku kikiwa na upepo mkali
na mvua, na kulazimisha shule na biashara kufungwa na usafiri
kusimama.
Hata
hivyo kimbunga hicho kimeelezwa kupungua kasi yake wakati kikielekea
eneo la China.
Kikosi cha zimamoto kikihangaika kuondoa miti iliyoanguka kufuatia kimbunga hicho
Watu wakiwa wamepata hifadhi ya muda kwenye uwanja kufuatia madhara ya kimbunga hicho
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni