Kipa Joe Hart ameisadia Manchester
City kutinga hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa wakati akiichezea
kwa mara ya mwisho klabu hiyo katika usiku huo maalum.
Hart, 29, aliachwa kikosini na kocha
Pep Guardiola katika michezo mitatu ya kwanza ya klabu hiyo msimu
huu, alivaa kitamba cha unahodha wakati akiicheza kwa mara ya kwanza
timu hiyo.
Wakati wa mchezo huo kunawakati
katika kipindi cha pili uwanja wa Etihad ulisikika sauti zikisema
“Simama juu kama unampenda Joe Hart”.
Shabiki wa Manchester City akiwa na bango lenye ujumbe maalum kwa Joe Hart
Mashabiki wa Manchester City wakisimama katika kuonyesha heshima kwa mchango aliotoa kipa Joe Hart kwa timu hiyo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni