Katika hali isiyo ya kawaida
waokoaji wamefanikiwa kumuokoa mtoto wa kike wa miaka 7 aliyenasa
kwenye kifusi cha nyumba akiwa kichwa chini baada ya kupita saa 17
tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi nchini Italia.
Waokoaji walijikuta wakishangilia
kwa furaha huku wakipaza sauti zao wakisema “yupo hai' wakati
wakimchomoa kwenye kifusi bindi huyo, kufuatia tetemeko la ardhi lililokwisha
uwa watu 247 na kujeruhi wengine wengi.
Waokoaji wakiendelea na kazi ya kutafuta watu waliofukiwa kwenye vifusi
Waokoaji wakimchomoa mtu aliyekuwa amekwama kwenye vifusi
Waokoaji wakimvuta mtu mwingine kutoka kwenye vifusi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni