Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua vitanda katika wodi mpya ya Hospitali
Teule ya Wilaya ya Nkansi baada ya kuizindua akiwa kataika ziara ya mkoa
wa Rukwa Agosti 23, 2016. Kushoto kwake ni mkewe Mary na wapili kushoto
ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Zelote Stephene. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye Hospitali Teule ya wilaya ya
Nkansi baada ya kufungua wodi akiwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa Agosti
23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa
Sabasaba mjini Nkansi akiwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa, Agosti 23,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi
ya watumishi wa Halmashauri na mkoa wa Rukwa wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa St
Maurus mjini Sumbawanga Agosti 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri na mkoa
wa Rukwa kwenye ukumbi wa St. Maurus mjini Sumbawanga Agosti23, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni