.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 23 Agosti 2016

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA KIJIJI CHA MAJIMOTO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitazama ngoma ya asili ya Wapimbwe wakati walipowasili kwenye uwanja wa kijiji cha Majimoto wilayani Mlele kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wa kjiji cha Majimoto wilayani Mlele wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia Agosti 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe  Mary wakiwapungia wananchi wa kijiji cha Majimoto wilayani Mlele baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Agosti 23, 2016 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Hakuna maoni :

Chapisha Maoni