MAJALIWA AKUTANA NA MO NA KUFANYA MAZUNGUMZO JIJINI DAR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METEL), Bw. Mohammed Dewji, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni