.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 27 Agosti 2016

MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO WA SITA WA TICAD

Waziri Mkuu wa Japan ,Shinzo Abe akizungumza katika mkutano wa Sita wa TICAD kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jomo Kenyatta jijini Nairobi Agosti 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Sita wa TICAD wakishiriki katika mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jomo Kenyatta jijini Nairobi Agosti 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiw katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wakuu wa Nchi na serikali kwenye Kituo cha Mikutano cha Mikutano cha Jomo Kenyatta jijini Nairobi Agosti 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni