.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 9 Agosti 2016

MAJALIWA ATEMBELEA SOKO LA MWANJELWA- MBEYA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili wenye soko kuu la kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya kulikagua
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya Agost9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya Agosti 9, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi baada ya kutembelea soko jipya la kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya, Agosti 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiagana na viongozi wa serikali kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songwe Mbeya kurejea Dar es salaam Agosti 9, 2016. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe na wapili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa Zelote Stephene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





Hakuna maoni :

Chapisha Maoni