Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Mkoa wa Katavi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi mkoani humo Agosti 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Vijana wa CCM baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kazi mkoani Katavi Agosti 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wananchi wa mkoa wa Katavi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kazi mkoani humo Agosti 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni