| Mabondia Iddi MKwela kushoto na Mwinyi mzengela wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito na afya kwa ajili ya mpambano wao wa Agost 21 katika uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi sita Picha naSUPER D BOXING NEWS |

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na Mabondia Iddi Mkwela kushoto na Mwinyi Mzengela baada ya kupima uzoto kwa mabondia hawo kwa ajili ya mpambano wao wa Agost 21 uwanja wa ndani wa Taifa kusindikiza mpambano wa Mfaume Mfaume na Yonas Segu Picha na SUPER D BOXING NEWS
| Bondia Mwinyi Mzengela Akipima uzito kulia ni mpinzani wake Iddi Mkwela na kushoto ni msimamizi Ibrahimu Kamwe Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Iddi Mkwela akipima uzito
daktari wa mchezo wa masumbwi, Donald Madono kulia akimpima bondia Iddi Mkwela Afya yake kabla ya mpambano wake na mwinyi Mzengela Kesho
Picha na SUPER D BOXING NEWS daktari wa mchezo wa masumbwi, Donald Madono kulia akimpima bondia Mwinyi Mzengela Afya yake kabla ya mpambano wake na Iddi MkwelaKesho
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni