
Show hiyo inatambulika kama 'The African Trader Show', Tamasha litafanyika siku 3 kuanzia Tarehe 2 mwezi wa 9/2016 - 4/9/2016. Mbali na Asya pia Mr. Yasin Kapuya atawakilisha Tanzania kwa kutoa mada na kuonesha ufundi wa kazi zake katika onesho hilo. Hivyo ndugu jamaa na marafiki + Watanzania kwa ujumla tunapaswa kutoa ushirikiano wadhati kwa Wanzanzania hao. Asanteni
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni