.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 31 Agosti 2016

WAZIRI PROF.MBARAWA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA JAPANI KUJADILI FURSA MBALIMBALI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu. Kulia kwake ni Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akimuonyesha Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano na ujumbe wake taarifa ya maendeleo ya Miundombinu
nchini, walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano (wa nne kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es salaam kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo kwa Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano, wakati Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea Ofisini kwake
kujadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo kwa Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano wakati Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea Ofisini
kwake kujadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya Miundombinu.
 

PICHA NA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO (W-UUM)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni