.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 9 Agosti 2016

MANCHESTER UNITED YAKAMILISHA KUMTWAA PAUL POGBA

Manchester United wamekamilisha uhamisho uliovunja rekodi ya dunia wa paundi milioni 100 kwa kunasa saini ya Paul Pogba.

Kiungo huyo mwenye kipaji anayehitajika mno duniani anatokea Juventus, akijiunga tena na klabu hiyo aliyoondoka kwa ada ya uhamisho sawa na bure mwaka 2012.

Pogba, 23, anatarajiwa kuvaa jezi namba 6 na ametia saini mshahara wa paundi 290,000 kwa wiki katika mkataba wa miaka mitano akinolewa na Jose Mourinho.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni