.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 9 Agosti 2016

MWANARIADHA USAIN BOLT AUNGANA NA MADANSA KUCHEZA SAMBA

Mwanariadha Mjamaica, Usain Bolt, ameungana na madansa wa ngoma ya Samba kutumbuiza katika kuhamasisha watazamaji kujitokeza kuangalia michuano ya Olimpiki Rio 2016.

Usain Bolt alishinda mbio za mita 100, mita 200 na 100 kupokezana vijiti kwa wanariadha wanne katika michuano ya Olimpiki ya Beijing na London na anatarajia kufanya hivyo tena Rio.
                                                  Usain Bolt akicheza Samba huku akijipiga Selfie 
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni