Jaji Jackline Cliff akitoa maelekezo
kwa mojawapo ya kikundi kilichoshiriki shindano la Tigo dance la
Fiesta jijini mwanza leo, Jumla ya vikundi nane vilichuana.
Kikundi cha Mirambo kikionyesha
cheche zake
Kikundi cha TYT kikiwa mzigoni ndani
ya ukumbi wa Villa Park
Kikundi cha Team Maximum japo
hawakushinda ila walionyesha umahiri mkubwa
Vikundi vya Scorpion na warriors
vikichuana vikali uso kwa uso kuonyesha nani zaidi kati yao
kwenye mashindano ya Tigo Dance la Fiesta.
Sehemu ya mashabiki wakifuatilia michuano hiyo Tigo Dance la Fiesta
Meneja wa Masoko Tigo kanda ya ziwa,
Alli Mashauri akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa shindano la
tigo dance la fiesta, kikundi cha scorpion waliojishindia kitita cha
shilingi milioni moja leo jijini Mwanza.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni