Watu wanne wamekufa na wengine
kadhaa kujeruhiwa kufuatia milipuko ya mfululizo iliyoratibiwa
iliyolenga maeneo ya utalii nchini Thailand.
Watalii walilazimika kuwakimbia
washambuliaji baada ya milipuko miwili kutokea katika eneo la hoteli
ya Hua Hin jana usiku na kuuwa mwanamke mmoja raia wa Thailand na
kujeruhi wengine 21.
Wanajeshi wakimpatia msaada mtalii aliyejeruhiwa katika milipuko hiyo
Watalii waliojawa na hofu wakiwa na mwanajeshi aliyekuwa akiwapa maelezo na kuwatuliza




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni