Msichana wa miaka 21 raia wa
Uingereza ameuwawa baada ya kushambuliwa kwa kisu mbele ya watu 30
katika kambi ya hosteli moja nchini Australia.
Katika tukio hilo mwanaume mmoja wa
miaka 30 raia wa Uingereza pia alijeruhiwa vibaya baada ya
kushambuliwa karibu na mji wa Townsville, huko Queensland.
Polisi wanachunguza iwapo mtu
anayedaiwa kufanya mashambulizi hayo amesukumwa na hisia za makundi
ya misimamo mikali baada ya kusikika akisema “Allahu Akbar”.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni