Mwanamke
mmoja ambaye umri wake unafikia miaka 60, amekufa na watu wengine
watano kujeruhiwa kwa kisu na kijana anayesemekana anamatatizo ya
akili alipofanya shambulizi linalihisiwa kuwa linauhusiano na ugaidi
Jijini London.
Polisi
wamethibitisha kuwa kijana huyo mwenye umri wa miaka 19 amekamatwa
baada ya kutumia bastola za shoti ya umeme, kutokana na shambulizi
hilo kwa watu wailokuwa eneo la Russell Square jana majira ya saa
nne na nusu usiku.
Polisi wakiwa wamesimama katika eneo lililotokea shambulizi la kutumia kisu
Wataalam wa uchunguzi wa kisayansi wakiendelea kufanya uchunguzi katika eneo Russell Square
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni