Rais
wa Nicaragua Daniel Ortega amemchagua mkewe kuwa mgombea mwenza
ambapo atakuwa makamu wa rais wakati akiwania kuchaguliwa kwa muhula
wa tatu.
Mke
wa rais huyo aitwae Rosario Murillo tayari ananafasi ya msemaji mkuu
wa serikali na amekuwa akionekana mno kwenye televisheni akionyesha
kuongoza na mumewe.
Bi.
Rosario Murillo amekuwa kionekana kwenye televisheni za nchi hiyo
karibu kila siku, jambo ambalo wakosoaji wa mambo wamekuwa
wakiwashutuma wanandoa hao
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni