Washambuliaji
Sergio Aguero na Nolito wametikisa nyavu mara mbili kila mmoja wakati
Manchester City ikiichakaza Stoke City kwa magoli 4-1 na kuendeleza
ushindi wakiwa na kocha Pep Guardiola.
Manchester
City walianza kuongoza kufunga kwa mkwaju wa penati, licha ya kukosa
penati mbili jumanne, na kuongeza la pili kwa kuunganisha mpira wa
adhabu uliopigwa na Kevin de Bruyne.
Sergio Aguero akiifungia Manchester City goli la kwanza kwa mkwaju wa penati
Bojan akiifungia Stoke City goli pekee la timu hiyo kwa mpira wa penati
Nalito akiifungia Manchester City moja ya magoli kati ya mawili aliyofunga




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni