.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 21 Agosti 2016

LIVERPOOL YAPOKEA KIPIGO CHA KUSHTUKIZA KUTOKA KWA BURNLEY

Magoli ya nusu ya kipindi cha kwanza ya Sam Vokes na Andre Gray yameipatia Burnley ushindi wa kushtukiza wa magoli 2-0 dhidi ya Liverpool, ambao watajutia makosa ya safu yao ya ulinzi.

Nathaniel Clyne alipoteza mpira na kuipatia Burnley goli la kwanza baada ya Gray kuunasa mpira na kumpasia Vokes na kuandika goli la kwanza. Steven Defour, akicheza kwa mara ya kwanza alimtengea pasi Gray na kuandika goli la pili.
                     Sam Vokes akiachia shuti na kuandika goli la kwanza kwa Burnley 
                                                                  Gray akiiandikia Burnley goli la pili 
                         Daniel Sturridge akisikilizia maumivu ya kipigo cha magoli 2-0

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni