Mmiliki
wa Leicester City amesema Riyad Mahrez hauzwi katika hali ya kujaribu
kuwapasha Arsenal ambao bado hawajakata tamaa kufanya mazungumzo ya
kumnasa mchezaji huyo.
Mmiliki
huyo Vichai Srivaddhanaprabha yupo makini katika kuhakikisha kuwa
Riyad Mahrez raia wa Algeria haondoki, na ametuma posti kwenye
mtandao wa jamii kuonyesha kutokuwa tayari kumuachia.
Baada
Leicester kufanya vyema katika Ligi Kuu ya Uingereza na kutwa ubingwa
Mahrez amekuwa akihusishwa na uvumi wa kuhama katika majira ya joto,
huku uvumi wa kuhamia Arsenal ukizidi kuendelea.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni