Irani
imewanyonga wafungwa Waislam wa dhehebu la Sunni zaidi ya 20, ambao
inasema walikuwa wanajihusisha na mashambulizi ya kutumia silaha.
Chombo
cha habari cha umma kimesema kundi hilo limenyongwa jumanne, na
lilikuwa linahusika na kuwauwa wanawake na watoto kati ya 2009 na
2011.
Iran,
ambayo inawaumini wengi wa Kiislam wa dhehebu la Shia, imewauwa watu
wapatao 977 mwaka jana, kwa m ujibu wa shirika la Amnesty
International.
Makundi
ya kutetea haki za binadamu wamekosoa unyongaji huo wa hivi karibuni,
kwa kusema usikilizaji wa kesi yao haukuwa wa haki.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni