.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 4 Agosti 2016

WAHAMIAJI KUTOKA AFRIKA WAPIGWA MABOMU YA MACHOZI NA KUKAMATWA UFARANSA

Wahamiaji wameonekana wakikamatwa na polisi nchini Ufaransa ambao waliwarushia mabomu ya machozi na kuwaburuza, wakati wakibomoa mabanda yao ya kambi isiyo rasmi Jijini Paris, leo.

Maafisa hao walionekana wakiyakusanya makundi ya wahamiaji hao wanaume wengi wao kutoka Sudani na Eritrea na kuwaweka kuwaingiza kwenye mabasi baada ya baada ya kuvamia kambi hiyo iliyopo Avenue de Flandre kaskazini mwa Paris.
Wahamiaji wakiwa wamekaa na mwingine amelala chini katika kupinga kuondolewa katika eneo hilo
Polisi wakimbena mmoja wa wahamiaji baada ya kugoma kuondoka katika mabanda yao
Wahamiaji wakiwa ndani ya basi tayari kwa ajili ya kuhamishwa kwenye eneo la mabanda ya wahamiaji katika kambi ambayo haikuwa rasmi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni