Wengi wa waliokuwa wamelewa
walionekana kuzidiwa na kilevi na kupoteza fahamu, wengine
wakijisaidia ovyo mitaani na kutapika, pia kunao waliokamatwa na
polisi na walioonekana wakichuruzika damu.
Mwanaume akiwa haelewi cha kufanya baada ya mwanamke wake kuzima kwa kilevi na kulala chini mtaani
Hawa nao hawana jinsi zaidi ya kukaa na shosti wao aliyezidiwa na kileo na kulala chini
Polisi wakimfunga pingu mtu aliyelewa chakari waliyemkuta mitaani
Huyu naye aliwekwa chini ya ulinzi na polisi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni