Watoto wa kike wa Uingereza wamekuwa
hawajisikii vizuri katika maisha yao ripoti ya mwaka ya Watoto
imeeleza.
Kati ya watoto wa kike hao wa umri
wa kuanzia miaka 10-15, asilimia 14 hawana furaha na maisha yao
kabisa, na asilimia 34 hawaridhishwi na muonekano wao.
Watafiti wa repoti hiyo wamesema
watoto wa kike wanajihisi ni wabaya na hawana maana yoyote.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni